sw_tn/jer/48/30.md

24 lines
443 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Anachokisema Bwana
"alichokisema Bwana"
# ukaidi
Ni kitendo cha kukataa kumtii mtu au maelekezo kwa sababu ya kiburi
# Nitamlilia Moabu, na nitapiga kelele za huzuni kwa ajili ya Moabu wote
Yeremia anasema kitu kile kile kwa ajili ya kusisitiza.
# Piga kelele
Kilio na huzuni ambacho mtu hufanya anapokuwa na uchungu.
# Kir-heresi
Hili ni jina la mji wa zamani wa Moabu.
# Jazeri ... Sibma
Haya ni majina ya miji miwili ya Moabu.