# Anachokisema Bwana "alichokisema Bwana" # ukaidi Ni kitendo cha kukataa kumtii mtu au maelekezo kwa sababu ya kiburi # Nitamlilia Moabu, na nitapiga kelele za huzuni kwa ajili ya Moabu wote Yeremia anasema kitu kile kile kwa ajili ya kusisitiza. # Piga kelele Kilio na huzuni ambacho mtu hufanya anapokuwa na uchungu. # Kir-heresi Hili ni jina la mji wa zamani wa Moabu. # Jazeri ... Sibma Haya ni majina ya miji miwili ya Moabu.