sw_tn/jer/48/28.md

12 lines
340 B
Markdown

# Maporomoko
Maporomoko ni sehemu yenye mteremko mkali katika mlima.
# Kinywa cha shimo katika miamba
Huu ni uwazi uliopo katika miamba kama sehemu ya kuingilia katika pango.
# Kiburi ... jeuri ... majivuno ... utukufu ... kujifurahisha moyoni mwake
Maneno haya yana maana inayofanana kwa pamoja yanasisitiza kiburi cha watu wa Moabu.