sw_tn/jer/48/28.md

340 B

Maporomoko

Maporomoko ni sehemu yenye mteremko mkali katika mlima.

Kinywa cha shimo katika miamba

Huu ni uwazi uliopo katika miamba kama sehemu ya kuingilia katika pango.

Kiburi ... jeuri ... majivuno ... utukufu ... kujifurahisha moyoni mwake

Maneno haya yana maana inayofanana kwa pamoja yanasisitiza kiburi cha watu wa Moabu.