# Maporomoko Maporomoko ni sehemu yenye mteremko mkali katika mlima. # Kinywa cha shimo katika miamba Huu ni uwazi uliopo katika miamba kama sehemu ya kuingilia katika pango. # Kiburi ... jeuri ... majivuno ... utukufu ... kujifurahisha moyoni mwake Maneno haya yana maana inayofanana kwa pamoja yanasisitiza kiburi cha watu wa Moabu.