sw_tn/jer/48/11.md

670 B

Moabu alijiona kuwa yuko salama tangu akiwa kijana

Hapa linazungumziwa taifa lote lla Moabu.

Yupo kama divai yake ambayo haijawekwa toka kwenye chombo kimoja hadi kingine

Hapa linazungumziwa taifa la Moabu ambalo linafananishwa na divai ambayo haikuhamishwa toka kwenye nchi yake.

Kwa hivyo analadha nzuri kuliko kawaida; ladha yake haibadiliki

Maneno haya yana maana moja.

Tazama, siku zinakuja

"Sikiliza kwa makini kwa sababu siku sio nyingi"

Hivi ndivyo alivyosema Bwana

"alichokisema Bwana"

watapiga juu yake na kumimina yote yaliyopo kwenye vyombo vyake na kuvunja mitungi yake

Maneni haya yanaonesha uharibifu unaokuja katika nchi ya Moabu.