sw_tn/jer/48/11.md

24 lines
670 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Moabu alijiona kuwa yuko salama tangu akiwa kijana
Hapa linazungumziwa taifa lote lla Moabu.
# Yupo kama divai yake ambayo haijawekwa toka kwenye chombo kimoja hadi kingine
Hapa linazungumziwa taifa la Moabu ambalo linafananishwa na divai ambayo haikuhamishwa toka kwenye nchi yake.
# Kwa hivyo analadha nzuri kuliko kawaida; ladha yake haibadiliki
Maneno haya yana maana moja.
# Tazama, siku zinakuja
"Sikiliza kwa makini kwa sababu siku sio nyingi"
# Hivi ndivyo alivyosema Bwana
"alichokisema Bwana"
# watapiga juu yake na kumimina yote yaliyopo kwenye vyombo vyake na kuvunja mitungi yake
Maneni haya yanaonesha uharibifu unaokuja katika nchi ya Moabu.