# Moabu alijiona kuwa yuko salama tangu akiwa kijana Hapa linazungumziwa taifa lote lla Moabu. # Yupo kama divai yake ambayo haijawekwa toka kwenye chombo kimoja hadi kingine Hapa linazungumziwa taifa la Moabu ambalo linafananishwa na divai ambayo haikuhamishwa toka kwenye nchi yake. # Kwa hivyo analadha nzuri kuliko kawaida; ladha yake haibadiliki Maneno haya yana maana moja. # Tazama, siku zinakuja "Sikiliza kwa makini kwa sababu siku sio nyingi" # Hivi ndivyo alivyosema Bwana "alichokisema Bwana" # watapiga juu yake na kumimina yote yaliyopo kwenye vyombo vyake na kuvunja mitungi yake Maneni haya yanaonesha uharibifu unaokuja katika nchi ya Moabu.