sw_tn/jer/48/06.md

401 B

Okoeni maisha yenu

Hapa wanazungumziwa watu wa Moabu.

mkawe kama mtu aliye mkiwa

Watu waliokimbia uharibifu katika mji wanafananishwa na kichaka kilichostahimili nyakati ngumu jangwani na chenye majani ya kijani mwaka mzima.

amini matendo yako

"kuishi kwa kufuata tamaduni na mafundisho ya dini yako"

Kemoshi

"Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu.