# Okoeni maisha yenu Hapa wanazungumziwa watu wa Moabu. # mkawe kama mtu aliye mkiwa Watu waliokimbia uharibifu katika mji wanafananishwa na kichaka kilichostahimili nyakati ngumu jangwani na chenye majani ya kijani mwaka mzima. # amini matendo yako "kuishi kwa kufuata tamaduni na mafundisho ya dini yako" # Kemoshi "Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu.