sw_tn/jer/48/06.md

16 lines
401 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Okoeni maisha yenu
Hapa wanazungumziwa watu wa Moabu.
# mkawe kama mtu aliye mkiwa
Watu waliokimbia uharibifu katika mji wanafananishwa na kichaka kilichostahimili nyakati ngumu jangwani na chenye majani ya kijani mwaka mzima.
# amini matendo yako
"kuishi kwa kufuata tamaduni na mafundisho ya dini yako"
# Kemoshi
"Kemoshi" ni mungu mkuu wa Wamoabu. Hapa Kemoni inawakilisha taifa la Moabu.