sw_tn/jer/48/03.md

24 lines
381 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yeremia anaendelea kuzungumza juu ya uharibifu wa Moabu.
# Horonaimu
Hili ni jina la mji uliopo kusini mwa Moabu.
# uharibifu na maangamizo makubwa
Maneno haya yana maana inayofanana. Yanasisitiza uharibifu.
# Watoto wake
Hawa ni watu wa Moabu.
# Luhithi
Hili ni jina la mahali huko Moabu.
# Kwa sababu ya uharibifu
"kwa sababu ya uharibifu wa mji."