sw_tn/jer/48/03.md

381 B

Taarifa ya jumla:

Yeremia anaendelea kuzungumza juu ya uharibifu wa Moabu.

Horonaimu

Hili ni jina la mji uliopo kusini mwa Moabu.

uharibifu na maangamizo makubwa

Maneno haya yana maana inayofanana. Yanasisitiza uharibifu.

Watoto wake

Hawa ni watu wa Moabu.

Luhithi

Hili ni jina la mahali huko Moabu.

Kwa sababu ya uharibifu

"kwa sababu ya uharibifu wa mji."