# Taarifa ya jumla: Yeremia anaendelea kuzungumza juu ya uharibifu wa Moabu. # Horonaimu Hili ni jina la mji uliopo kusini mwa Moabu. # uharibifu na maangamizo makubwa Maneno haya yana maana inayofanana. Yanasisitiza uharibifu. # Watoto wake Hawa ni watu wa Moabu. # Luhithi Hili ni jina la mahali huko Moabu. # Kwa sababu ya uharibifu "kwa sababu ya uharibifu wa mji."