sw_tn/jer/47/05.md

32 lines
823 B
Markdown

# upaa
Hiki ni kitendo cha kunyoa nywele zote za kichwani au sehemu ya nywele kama ishara ya maombolezo makubwa yanayofanywa na wanaoabudu sanamu wa mataifa kama Filisti.
# watu ... watanyamaziswa.
"Watu ... watauawa."
# Kwa muda gani mtajikata wenyewe kwa ajili ya kuomboleza
Kujikata ngozi ilikuwa inafanywa na wanaoabudu sanamu walipokuwa wakiomboleza msibani.
# upanga wa Bwana
Hili ni jeshi ka kaskazini ambalo Bwana analitumia kuwaadhibu Wafilisti.
# Itachukua muda gani mpaka mtakapokuwa kimya
Wafilisti walitumia swali hili kuonesha namna ambavyo walichanganyikiwa kutokana na uharibifu uliosababishwa na adui zao.
# wewe
Hapa upanga wa Bwana unafananishwa na mtu.
# ala
Ni kifaa kinachotumika kulindia makali ya upanga.
# Ukuwaje kimya, kwa kuwa bwana amekuamuru
Hapa unazungumziwa upanga wa Bwana.