sw_tn/jer/47/05.md

823 B

upaa

Hiki ni kitendo cha kunyoa nywele zote za kichwani au sehemu ya nywele kama ishara ya maombolezo makubwa yanayofanywa na wanaoabudu sanamu wa mataifa kama Filisti.

watu ... watanyamaziswa.

"Watu ... watauawa."

Kwa muda gani mtajikata wenyewe kwa ajili ya kuomboleza

Kujikata ngozi ilikuwa inafanywa na wanaoabudu sanamu walipokuwa wakiomboleza msibani.

upanga wa Bwana

Hili ni jeshi ka kaskazini ambalo Bwana analitumia kuwaadhibu Wafilisti.

Itachukua muda gani mpaka mtakapokuwa kimya

Wafilisti walitumia swali hili kuonesha namna ambavyo walichanganyikiwa kutokana na uharibifu uliosababishwa na adui zao.

wewe

Hapa upanga wa Bwana unafananishwa na mtu.

ala

Ni kifaa kinachotumika kulindia makali ya upanga.

Ukuwaje kimya, kwa kuwa bwana amekuamuru

Hapa unazungumziwa upanga wa Bwana.