sw_tn/jer/47/03.md

12 lines
314 B
Markdown

# Kwa sauti za kukanyaga za farasi wao, kwa mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao
Kwa pamoja vinawakilisha sauti za jeshi linalokuja.
# mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao
Maneno haya yametumika ili kuonesha msisitizo.
# Kaftori
Hili ni jina la kisiwa kilichopo kaskazini mwa Wafilisti.