sw_tn/jer/47/03.md

314 B

Kwa sauti za kukanyaga za farasi wao, kwa mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao

Kwa pamoja vinawakilisha sauti za jeshi linalokuja.

mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao

Maneno haya yametumika ili kuonesha msisitizo.

Kaftori

Hili ni jina la kisiwa kilichopo kaskazini mwa Wafilisti.