# Kwa sauti za kukanyaga za farasi wao, kwa mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao Kwa pamoja vinawakilisha sauti za jeshi linalokuja. # mwendo wa magari yao na sauti za magurudumu yao Maneno haya yametumika ili kuonesha msisitizo. # Kaftori Hili ni jina la kisiwa kilichopo kaskazini mwa Wafilisti.