sw_tn/jer/47/01.md

12 lines
321 B
Markdown

# Tazama
Neno "tazama" linatuonesha kuwa tunapaswa kuwa makini kusikiliza ambacho kinazungumzwa.
# Mafuriki ya maji yanainuka toka kaskazini. Yatakuwa kama mto uliyojaa!
Sentensi hizi zinamaana moja. "maji" na "mto" vinawakilisha jeshi linalokuja toka kaskazini.
# vitaijaza nchi
Hili ni jeshi linalotoka kaskazini.