# Tazama Neno "tazama" linatuonesha kuwa tunapaswa kuwa makini kusikiliza ambacho kinazungumzwa. # Mafuriki ya maji yanainuka toka kaskazini. Yatakuwa kama mto uliyojaa! Sentensi hizi zinamaana moja. "maji" na "mto" vinawakilisha jeshi linalokuja toka kaskazini. # vitaijaza nchi Hili ni jeshi linalotoka kaskazini.