sw_tn/jer/47/01.md

321 B

Tazama

Neno "tazama" linatuonesha kuwa tunapaswa kuwa makini kusikiliza ambacho kinazungumzwa.

Mafuriki ya maji yanainuka toka kaskazini. Yatakuwa kama mto uliyojaa!

Sentensi hizi zinamaana moja. "maji" na "mto" vinawakilisha jeshi linalokuja toka kaskazini.

vitaijaza nchi

Hili ni jeshi linalotoka kaskazini.