sw_tn/jer/46/25.md

16 lines
443 B
Markdown

# Amoni wa Tabesi
Amoni ni mfalme wa miungu ya Misri. Tabesi ni mji mkuu wa Misri na hapa inawakilisha himaya yote ya Misri.
# Ninawaweka ... kwenye mkono ya Nebukadreza na watumishi wake
Hapa Nebukadreza anawakilisha taifa zima la Babeli na "mkono" inawakilisha "kutawala"
# Baada ya hayo Misri itakaliwa kama zamani
"Baada ya adhabu ya Bwana taifa la Misri litarudi na kuwa huru."
# Hivi ndivyo alivyosema Bwana.
"Alichokisema Bwana"