# Amoni wa Tabesi Amoni ni mfalme wa miungu ya Misri. Tabesi ni mji mkuu wa Misri na hapa inawakilisha himaya yote ya Misri. # Ninawaweka ... kwenye mkono ya Nebukadreza na watumishi wake Hapa Nebukadreza anawakilisha taifa zima la Babeli na "mkono" inawakilisha "kutawala" # Baada ya hayo Misri itakaliwa kama zamani "Baada ya adhabu ya Bwana taifa la Misri litarudi na kuwa huru." # Hivi ndivyo alivyosema Bwana. "Alichokisema Bwana"