sw_tn/jer/46/25.md

443 B

Amoni wa Tabesi

Amoni ni mfalme wa miungu ya Misri. Tabesi ni mji mkuu wa Misri na hapa inawakilisha himaya yote ya Misri.

Ninawaweka ... kwenye mkono ya Nebukadreza na watumishi wake

Hapa Nebukadreza anawakilisha taifa zima la Babeli na "mkono" inawakilisha "kutawala"

Baada ya hayo Misri itakaliwa kama zamani

"Baada ya adhabu ya Bwana taifa la Misri litarudi na kuwa huru."

Hivi ndivyo alivyosema Bwana.

"Alichokisema Bwana"