sw_tn/jer/46/23.md

651 B

Watakata misitu

Jeshi la uvamizi litakuwa kama wakata mbao likikata msitu wote. "Jeshi la Babeli litaiangamiza miji ya Misri."

wao

Hili ni jeshi la taifa la Babeli likivamia Misri.

Hivi ndivyo alivyosema Bwana

"Alichokisema Bwana"

Ni nzito sana

Hii inaelezea idadi kubwa ya miji ya Misri.

Nzige

Hii ni aina ya wadudu wanaosafiri katika kundi kubwa na kusababisha uharibifu kwa kula mazao.

mabinti ... watapata aibu

Yeremia anasema kuwa watu wa Misri watapata aibu mbele ya mataifa hasa wanawake na mabinti watatendewa vibaya na askari wa Babeli.

mkono wa watu toka kaskazini

"nguvu ya taifa la Babeli lililotoka Kaskazini."