# Watakata misitu Jeshi la uvamizi litakuwa kama wakata mbao likikata msitu wote. "Jeshi la Babeli litaiangamiza miji ya Misri." # wao Hili ni jeshi la taifa la Babeli likivamia Misri. # Hivi ndivyo alivyosema Bwana "Alichokisema Bwana" # Ni nzito sana Hii inaelezea idadi kubwa ya miji ya Misri. # Nzige Hii ni aina ya wadudu wanaosafiri katika kundi kubwa na kusababisha uharibifu kwa kula mazao. # mabinti ... watapata aibu Yeremia anasema kuwa watu wa Misri watapata aibu mbele ya mataifa hasa wanawake na mabinti watatendewa vibaya na askari wa Babeli. # mkono wa watu toka kaskazini "nguvu ya taifa la Babeli lililotoka Kaskazini."