sw_tn/jer/46/23.md

28 lines
651 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watakata misitu
Jeshi la uvamizi litakuwa kama wakata mbao likikata msitu wote. "Jeshi la Babeli litaiangamiza miji ya Misri."
# wao
Hili ni jeshi la taifa la Babeli likivamia Misri.
# Hivi ndivyo alivyosema Bwana
"Alichokisema Bwana"
# Ni nzito sana
Hii inaelezea idadi kubwa ya miji ya Misri.
# Nzige
Hii ni aina ya wadudu wanaosafiri katika kundi kubwa na kusababisha uharibifu kwa kula mazao.
# mabinti ... watapata aibu
Yeremia anasema kuwa watu wa Misri watapata aibu mbele ya mataifa hasa wanawake na mabinti watatendewa vibaya na askari wa Babeli.
# mkono wa watu toka kaskazini
"nguvu ya taifa la Babeli lililotoka Kaskazini."