sw_tn/jer/46/15.md

473 B

kwa nini mungu wenu Api amekimbia?

"mungu wenu Api amekimbia."

Api

Huyu ni mmoja wa wakuu wamiungu ya Misri.

Kwa nini mungu wenu- ndama hasimami?

"mungu wenu ambaye ni ndama hawezi kusimama."

Bwana amemtupa chini

"Bwana amemshinda Api, mungu wenu wa ndama."

upanga huu umetupiga chini

"upanga" unawakilisha taifa la Babeli.

Farao mfalme wa Misri ni kelele tuu, ambeye aliacha nafasi ipite

Sentensi hii inasema kuwa taifa la Misri limepoteza umuhimu.