sw_tn/jer/46/15.md

24 lines
473 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa nini mungu wenu Api amekimbia?
"mungu wenu Api amekimbia."
# Api
Huyu ni mmoja wa wakuu wamiungu ya Misri.
# Kwa nini mungu wenu- ndama hasimami?
"mungu wenu ambaye ni ndama hawezi kusimama."
# Bwana amemtupa chini
"Bwana amemshinda Api, mungu wenu wa ndama."
# upanga huu umetupiga chini
"upanga" unawakilisha taifa la Babeli.
# Farao mfalme wa Misri ni kelele tuu, ambeye aliacha nafasi ipite
Sentensi hii inasema kuwa taifa la Misri limepoteza umuhimu.