# kwa nini mungu wenu Api amekimbia? "mungu wenu Api amekimbia." # Api Huyu ni mmoja wa wakuu wamiungu ya Misri. # Kwa nini mungu wenu- ndama hasimami? "mungu wenu ambaye ni ndama hawezi kusimama." # Bwana amemtupa chini "Bwana amemshinda Api, mungu wenu wa ndama." # upanga huu umetupiga chini "upanga" unawakilisha taifa la Babeli. # Farao mfalme wa Misri ni kelele tuu, ambeye aliacha nafasi ipite Sentensi hii inasema kuwa taifa la Misri limepoteza umuhimu.