sw_tn/jer/46/11.md

16 lines
253 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Bwana anamaliza kusema ujumbe wake kwa Misri.
# mabikira wa Misri
"wasioharibika wa Misri."
# Kulaumiwa
Hii ni hali ya kujisikia aibu au kupoteza heshima yako.
# Dunia imejawa na maombolezo yako
Kila mtu anasikia kilio chako.