# Taarifa ya jumla: Bwana anamaliza kusema ujumbe wake kwa Misri. # mabikira wa Misri "wasioharibika wa Misri." # Kulaumiwa Hii ni hali ya kujisikia aibu au kupoteza heshima yako. # Dunia imejawa na maombolezo yako Kila mtu anasikia kilio chako.