sw_tn/jer/46/11.md

253 B

Taarifa ya jumla:

Bwana anamaliza kusema ujumbe wake kwa Misri.

mabikira wa Misri

"wasioharibika wa Misri."

Kulaumiwa

Hii ni hali ya kujisikia aibu au kupoteza heshima yako.

Dunia imejawa na maombolezo yako

Kila mtu anasikia kilio chako.