sw_tn/jer/46/07.md

32 lines
931 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yeremia anaendelea kunukuu maneno ya Bwana kwa taifa la Misri.
# Huyu ni nani anayeinuka kama mto Nile
"Misri anainuka kama mto Nile." Bwana anauliza hili swali ili kuwafanya wasikilizaji wawe makini na taifa la Misri.
# Misri imeinuka kama mto Nile
Jeshi la Misri linasababishwa na uharibifu unaosababishwa na mafuriko ya mto Nile.
# Unasema
Hapa nchi ya Misri inazungumza kama mtu azungumzapo.
# "Nitakwenda juu; nitaifunika nchi. Nitaharibu mji na wakaao ndani yake."
Hapa taifa la Misri linajisifu na kusema kuwa jeshi lake litaharibu dunia kama mafuriko.
# kwenda juu, farasi. kukasirika, magari yenu.
Bwana anaamuri farasi na magari kama vile anaamuru watu. maneno haya "farasi" na "magari" yamezungumziwa kama sehemu ya vita.
# Kushi ... Puti ... Ludimu
Haya ni majina ya biblia ya nchi za Ethiopia, Libya na Lydia.
# kukunja pinde zao
Hiki ni kitendo cha kuupindisha upinde wenye mshale.