sw_tn/jer/46/07.md

931 B

Taarifa ya jumla:

Yeremia anaendelea kunukuu maneno ya Bwana kwa taifa la Misri.

Huyu ni nani anayeinuka kama mto Nile

"Misri anainuka kama mto Nile." Bwana anauliza hili swali ili kuwafanya wasikilizaji wawe makini na taifa la Misri.

Misri imeinuka kama mto Nile

Jeshi la Misri linasababishwa na uharibifu unaosababishwa na mafuriko ya mto Nile.

Unasema

Hapa nchi ya Misri inazungumza kama mtu azungumzapo.

"Nitakwenda juu; nitaifunika nchi. Nitaharibu mji na wakaao ndani yake."

Hapa taifa la Misri linajisifu na kusema kuwa jeshi lake litaharibu dunia kama mafuriko.

kwenda juu, farasi. kukasirika, magari yenu.

Bwana anaamuri farasi na magari kama vile anaamuru watu. maneno haya "farasi" na "magari" yamezungumziwa kama sehemu ya vita.

Kushi ... Puti ... Ludimu

Haya ni majina ya biblia ya nchi za Ethiopia, Libya na Lydia.

kukunja pinde zao

Hiki ni kitendo cha kuupindisha upinde wenye mshale.