sw_tn/jer/45/04.md

24 lines
421 B
Markdown

# Hivi ndivyo utakavyomwambia
Bwana anamwambia Yeremia jambo atakalomwambia Baruku.
# Hii ni kweli juu ya dunia yote
"hili litatokea juu ya dunia yote"
# Lakini je mmetegemea mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe?
"mmetegemea kufanya mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe"
# Tazama
"kuwa makini"
# nyara
Vitu vilivyoibiwa mahali kwa nguvu
# maisha yako kama nyara
"Nitawaruhusu muishi. Hivyo ndivyo mtakavyotegemea.