sw_tn/jer/45/04.md

421 B

Hivi ndivyo utakavyomwambia

Bwana anamwambia Yeremia jambo atakalomwambia Baruku.

Hii ni kweli juu ya dunia yote

"hili litatokea juu ya dunia yote"

Lakini je mmetegemea mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe?

"mmetegemea kufanya mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe"

Tazama

"kuwa makini"

nyara

Vitu vilivyoibiwa mahali kwa nguvu

maisha yako kama nyara

"Nitawaruhusu muishi. Hivyo ndivyo mtakavyotegemea.