# Hivi ndivyo utakavyomwambia Bwana anamwambia Yeremia jambo atakalomwambia Baruku. # Hii ni kweli juu ya dunia yote "hili litatokea juu ya dunia yote" # Lakini je mmetegemea mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe? "mmetegemea kufanya mambo makuu kwa ajili yenu wenyewe" # Tazama "kuwa makini" # nyara Vitu vilivyoibiwa mahali kwa nguvu # maisha yako kama nyara "Nitawaruhusu muishi. Hivyo ndivyo mtakavyotegemea.