sw_tn/jer/44/18.md

12 lines
303 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Watu waliosalia waliokuwa wakiishi Misri wanaendelea kuongea.
# Malkia wa mbingu
Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi.
# je tunafanya mambo haya bila waume zetu kufahamu?
Wanawake wanajitetea kwa sababu wamepata ruhusa toka kwa waume zao.