# Taarifa ya jumla: Watu waliosalia waliokuwa wakiishi Misri wanaendelea kuongea. # Malkia wa mbingu Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi. # je tunafanya mambo haya bila waume zetu kufahamu? Wanawake wanajitetea kwa sababu wamepata ruhusa toka kwa waume zao.