sw_tn/jer/44/18.md

303 B

Taarifa ya jumla:

Watu waliosalia waliokuwa wakiishi Misri wanaendelea kuongea.

Malkia wa mbingu

Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi.

je tunafanya mambo haya bila waume zetu kufahamu?

Wanawake wanajitetea kwa sababu wamepata ruhusa toka kwa waume zao.