sw_tn/jer/44/13.md

183 B

upanga, njaa na tauni

Neno "upanga" linaelezea vita.

wakimbizi au waliopona

Haya maneno yote yanafanana. Mkimbizi ni mtu anayemtoroka mtu anayetaka kumuua au kumchukua mateka.