# upanga, njaa na tauni Neno "upanga" linaelezea vita. # wakimbizi au waliopona Haya maneno yote yanafanana. Mkimbizi ni mtu anayemtoroka mtu anayetaka kumuua au kumchukua mateka.