sw_tn/jer/44/07.md

325 B

Kwa nini unafanya uovu mkuu juu yao? Kwa nini mnajikatilia wenyewe kati ya Yuda - wanaume, wanawake na watoto?

Bwana anatumia maswali haya kuwaambia wana wa Israeli kuwa wanapaswa kuacha kufanya mambo yatakayosababisha wahukumiwe.

matendo ya mikono yenu

"kwa mliyoyafanya"

mtaangamizwa

"mnasababisha niwaangamize"