sw_tn/jer/44/07.md

12 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini unafanya uovu mkuu juu yao? Kwa nini mnajikatilia wenyewe kati ya Yuda - wanaume, wanawake na watoto?
Bwana anatumia maswali haya kuwaambia wana wa Israeli kuwa wanapaswa kuacha kufanya mambo yatakayosababisha wahukumiwe.
# matendo ya mikono yenu
"kwa mliyoyafanya"
# mtaangamizwa
"mnasababisha niwaangamize"