# Kwa nini unafanya uovu mkuu juu yao? Kwa nini mnajikatilia wenyewe kati ya Yuda - wanaume, wanawake na watoto? Bwana anatumia maswali haya kuwaambia wana wa Israeli kuwa wanapaswa kuacha kufanya mambo yatakayosababisha wahukumiwe. # matendo ya mikono yenu "kwa mliyoyafanya" # mtaangamizwa "mnasababisha niwaangamize"