sw_tn/jer/44/04.md

16 lines
510 B
Markdown

# Hivyo nikawatuma tena
Huyu ni Bwana.
# hasiya yangu na ghadhabu yangu ilimwagika
Hii inaelezea hukumu ya Bwana kama maji ambayo ameyahifadhi kwenye maji lakini hasira yake inaweza kusababisha akaimwaga hasira yake kwa kuanza kuwahukumu wale wanaomkasirisha.
# hasira yangu na ghadhabu yangu
"hasira" na "ghadhabu"yana maana moja yakiwa yanasisitiza uzito wa hasira yake.
# Wakawa magofu na ukiwa
Maneno "magofu" na "ukiwa" yana maana sawa. yanasisitiza namna ambavyo Yuda na Yerusalemu itakuwa ukiwa.