sw_tn/jer/44/04.md

510 B

Hivyo nikawatuma tena

Huyu ni Bwana.

hasiya yangu na ghadhabu yangu ilimwagika

Hii inaelezea hukumu ya Bwana kama maji ambayo ameyahifadhi kwenye maji lakini hasira yake inaweza kusababisha akaimwaga hasira yake kwa kuanza kuwahukumu wale wanaomkasirisha.

hasira yangu na ghadhabu yangu

"hasira" na "ghadhabu"yana maana moja yakiwa yanasisitiza uzito wa hasira yake.

Wakawa magofu na ukiwa

Maneno "magofu" na "ukiwa" yana maana sawa. yanasisitiza namna ambavyo Yuda na Yerusalemu itakuwa ukiwa.