# Hivyo nikawatuma tena Huyu ni Bwana. # hasiya yangu na ghadhabu yangu ilimwagika Hii inaelezea hukumu ya Bwana kama maji ambayo ameyahifadhi kwenye maji lakini hasira yake inaweza kusababisha akaimwaga hasira yake kwa kuanza kuwahukumu wale wanaomkasirisha. # hasira yangu na ghadhabu yangu "hasira" na "ghadhabu"yana maana moja yakiwa yanasisitiza uzito wa hasira yake. # Wakawa magofu na ukiwa Maneno "magofu" na "ukiwa" yana maana sawa. yanasisitiza namna ambavyo Yuda na Yerusalemu itakuwa ukiwa.